Hugue Katembo: Wahanga wa mafuriko ya mto mjini Kindu wapewa msaada na shirika MIDEFEHOPS
Auteur: radiookapi.netPublié le: 16 juillet 2026Pays: Democratic Republic of Congo
Environnement & ClimatSociété & Mode de vie

Hugue Katembo, kiongozi wa mradi wa kukabiliana na majanga ya mafuriko ya mto mjini Kindu katika jimbo la Maniema, anaeleza jinsi shirika MIDEFEHOPS linavyotoa msaada kwa familia 800 za wahanga. Msaada huo ni wa kipesa ili kuwawezesha kujenga mahali pengine salama. Katembo alizungumza na Florence Kiza Lunga katika kipindi cha L'invité swahili.
Stay informed with NewsBoulevard
Get the latest news summaries delivered to your inbox


